Mahakama kuu yatupilia mbali uamuzi wa kupiga marufuku maandamano jijini Nairobi
Mahakama kuu yatupilia mbali uamuzi wa kupiga marufuku maandamano jijini Nairobi
#KTNNews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews #genz
Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service…
source
Reviews
0 %
Hawa watu wanatuka rais wafugwe maisha
Amani nikitukidogo Sana lakini ikipotea silaisikuipata
HUYO JAJI AFUTWE KAZI ANASAPORT MACHAFUKO
Kenya nawashukuru kwa kuandamana lkn mfahamu maisha yanaendelea vitu vingi vinasimama kumbuka kipindi cha COVID 19 nchi ili simama uzalishaji mlikaa ndani bila kufanya kazi muda mrefu nchi ikachukua mkopo ili kuendesha Nchi isiyozalisha lkn mazao yakavamiwa na nzige lingine ni umoja wa kitaifa ukabila ndo unaahikilia hatamu za Nchi. Kautakieni amani mji mnaoishi ndipo mtakuwa na na amani haiwezekani kufanya muujiza wakati hazina ya nchi imeisha lazima kufunga mkanda ili kuirudisha uchumi wetu
Freedom is coming❤❤❤❤
Douglas kanja, so your little mind tells you that you are the Engel to save Ruto….
Wanjinga ni wale wanasema serikali itawasaidia
Ivi polisi wanaoshutumiwa wakiacha kuthibiti ualifu huo mnajua asara watu watakayoipata nadhani mifumo imepaswa kufanyakazi pamoja kuhakikisha amani inapatikana na namna nzuri ya uwakilishaji wa kile hao wanaoandamana wanataka
Ache hizo bio akona nazo koome alikuja na bio kama yeye
Asante sana Mahakama Mkuu kwa kutupilia mbali kwa kupigwa marufuku maandamano sababu ni haki yetu kuandamana
Mandamano iendelee bt wezi wakishikwa washikwe
Na sisi pia tumekataa maandamano period.
Is pain to business owners and investors
Ati tumetenga uongo milioni moja surely😂😂
Madamano marufuko
Tunaka kufanya kazi tumechoka na maadamano
Kanja akapige marufuku kwa nyumba yake,KENYA si ya babake
They have the right to maandamano but business men have the right to do their businesses. Wakuje tupatane. High court give them your court room for them not where we do business.
Ruto kaa kama Uhuru. Defy court orders & deal with goons ruthlessly. They will post & get used.
Kenya 🇰🇪 constitution not for Kenyans it's belong to Western countries, because they doesn’t do protests without police 🚨 give them pomistion and no one trying to destroying stealing damages burned roads, even they doesn't closed 🔐 they businesses at'll, Kenya 🇰🇪 constitution have to change until Kenyans citizens have been studying about it's cos Kenyans been told constitution says yes you can protests but not to destroying others people's peace ✌ 😮
Ruto unamalisa pesa ya matembesi🍉🍉🍉😭😭😭
Which constitution hawa polisi na serikali hutumia???
It's funny that some people still believe that their words can be the law just because they hold some offices which they think are more powerful than the constitution
No where constitution saying that to destroying stealing damages burned roads no judge's have to understand that businesses owners need to work to pay they bill
But this is too much for the country. No needs for wasting resources, message already heard and partly acted. That's a great achievement otherwise the youngsters will loose the goodwill they have earned.
Wednesday tunarudi uwanjani
Kazi gani whill the ground is rotten
The court knows if they doesthey are next in line to handled by GNZ
Ruto must go! It is a corrupt government. He is a puppet of American. He must go!
Thanks alot high Court, instead of filing case against the corrupt fellows guys wanna file case against demonstrators
Huyo mende atulie chooni asifike kwa nyumba
Tukishika wezi tunapelekea police wanahukumiwa nasi tuendelee kuitetea nchi yetu Kenya😂❤ 🇰🇪🫂🙏🏽🙋🏼♀️