Magoli | Tanzania Bara 0-2 Kenya | Mapinduzi Cup 07/01/2025

Spread the love


Magoli | Tanzania Bara 0-2 Kenya | Mapinduzi Cup 07/01/2025


Magoli mawili kutoka Boniface Muchiri na Ryan Ogam yameipa Kenya #HarambeeStars ushindi wa 2-0 dhidi ya Tanzania Bara #KilimanjaroStars katika mchezo wa pili kwa kila tim kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi, inayoendelea kisiwani Pemba….

Haya hapa magoli…

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing