Magoli | Burkina Faso 1-1 Kenya | Mapinduzi Cup 04/01/2024

Spread the love


Magoli | Burkina Faso 1-1 Kenya | Mapinduzi Cup 04/01/2024


Goli la kusawazisha dakika ya 90 kutoka kwa Aboubacar Traore limeipa alama moja Burkina Faso katika sare ya bao 1-1 dhidi ya Kenya, ukiwa ni mchezo wa pili kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea kisiwani Pemba…

Goli la Kenya lilipatikana dakika ya 45 kupitia kwa James Kinyanjui.

Haya hapa magoli yote mawili….

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing