MACHALII WA CHUGA WADUDU NJE YA OFISI YA MAKONDA,WAPIGA MKWARA “LAZIMA UKUTANE NA SISI”
MACHALII WA CHUGA WADUDU NJE YA OFISI YA MAKONDA,WAPIGA MKWARA “LAZIMA UKUTANE NA SISI”
Reviews
0 %
Ze kabwela suti viraka nation featuring Ze chuga waduduz kakaz and dadaz 😎😎😎🤣🤣🤣
Wako sawa bwana
Ni oG babalabaa 😂chuga 1
Wasizunguke na mavazi ya kisanii mtaani itachukuliwa ni bangi, tafuta contents na perform on stage
Makonda anza na hawa wanajiita wadudu wafanye kazi. Ata kama ni comedian sio stly hii huu ni uchizi.
Bange sio!!!
Hapa hakuna Cha Sanaa wala Nini yaani Arusha imeharibika waizi wamejaa Kila Kona. Mhe makonda nyoosha hawa wapuuzi
watoto wadogo wamelishwa sumu ya kisiasa mavi au siasa taka kwa masirahi ya wapinzani wasio na uzalendo au na namaadili au wasio kua na hadhi ya uongozi ndio wanaowagawa watanzania hadi watoto wadogo kama hawa eti loma alifichwa yaani ujinga tu mzazi nawewe unangalia mwanao anatumika na wanasiasa wakipinzani kueneza chuki si ujinga tu huu jamani
huu ujinga upo tanzania tu watu kudharau viongozi wanao kemea maovu hawa nnchi zingine sahiz wapo jela bangi mbaya sana
Aahh jamani hivi si maisha ya kawaida hii ni bangi isiokuwa na kipimo😮😮
Hivi milady ayo, mbona kuna mambo ya kijamii kuripoti, mafuriko yameharibu miundombinu yameuwa yameacha watu katika umaskini, mnawapa kiki watu wahovywo, wanaifunza nini jamii,au vizazi vijavyo, hawa ukikutana nao uck mwingi wanakfyekelea mbali, miaka 5–10.unawaona wapi kwa upumbavu wao, hata ongea yao haina adabu heshima, utu wema, naomba wapelekwe lukaranga Moshi wakafundishwe kazi za mikono miaka 5 tu itawanyoosha.
Aisee bange ni mbaya sana afu serikali kimya tu watoto kiharibika hivyo
😂😂😂😂
Usimjaji mtu kwa mavazi ispokuwa kama kuna namna nzuri iko wasaidiwe namnanzuri waweza kuwa kivutio 😂
Wametrend kila mahali, mpaka mochwari😂😂😂
Wote mashoga, wasagaji wote aweke kwenye tippers wakamwagwe huko Bahrain au wakusanywe wachomee moto. Wanachafua nchi nzuri. Uchafu wa mfano wa binadamu
😂😂😂 Hao wadudu majan ya arusha makonda atayachoma moto yotee
😂😂😂 Hao wadudu majan ya arusha makonda atayachoma moto yotee
Arusha noma😮
Nibora ukutane namnyama SIMBA usku Kuliko kukutana nahawa WADUDU!!!!👺🥺🥴🤔
Mlibakwa na ali dangote,, msi tuchoshe
Zamani nlikua naupenda sn mkoa wa arusha ila kwa sasa hapana 😂
ila arusha 😂😂😂😂😂
Waachenii wafanye saanaa ya mitaaaaa na watu wana enjoy..mbonaa waleee wenginee wavaaaa uchiii mashogaa …video za uchiii hampigii vitaa uzuriii wanajikubalii na wako very strong nigas keep fighting for your life…never mind over what people talk about you Midudu ya chuga
Una mda wakusikiliza wavuta bangi
Vijana wa Arusha wanatakiwa wawekwe kundi maalum km yalivyo makundi ya wazee, akina mama, watoto, walemavu, wafugaji, n.k
Yaani huyu ambae ana mshangao kichwani kashiba bange jamani 😮
Bange bange bange inaua na inachanganya akili jamani 😢
Nomaaàaaa
Arusha ni Tanzania au ni nchi tofauti?! Wana staili yao ya kuongea mpaka maisha.
Aiseee mkuu inalazimika kuonana na hawa wadudu kama hujawaona basi hujafika AR 😂 utakuwa upo karatu
Hawa ni Ndugu zake kenyonyo
HIO SIO TALENT, NI UHUNI,,AFU AYO NDO MNAPENDA KWELI KUWAPA EA TYM..
Makonda hawezi sapot huuu upuzi mambo ya kizamani sifazakijinga tuu humu naninahis wadudu hawa chakula chao ni bangi hawoo niwakuburuza waonyeshe magenge yote ya wadudu
Makonda kazi unayo baba
wadudu jicho nyanya
Mhhh sina hata la kusema nimetoa macho tuu.tunaambiwa kuishi kwingi ni kuona mengi. 08.04.24.
Hii chanel ya Ayo na huyu anayewahoji wote zero brain
Mi naona hawa vijana bado wako vizuri ni viboko tu vinatakiwa kuzingatiwa mbn watakaa vzri tu
Waandish ndio mnawapa cfa hao vjana…saaana walibu Sana bangi tup!!