This is a demo advert, you can use simple text, HTML image or any Ad Service JavaScript code. If you're inserting HTML or JS code make sure editor is switched to 'Text' mode.
Wakenya wamechagua mseveni wa kenya anajipiga kifua kabisa God help kenya and bless it cause kenya mseveni needs a puppet to destroy kenya properly by looting kenya tax wisely
Suluhu ya sisi Wakenya ni Ruto aende pamoja na Gachagua nyumbani. La sivyo hapa hatujaleta suluhu lolote. Na huyo Ruto amefurishwa kichwa na Police. KDF na Raila Odinga hao wanamuunga mkono
Kindiki ataleta mabadiliko gani? Je JKIA itarudi kwa Wakenya? Je maisha yatarudi chini? Tatizo sio Gachagua wala Kindiki Tatizo Kubwa ni William Ruto mwenyewe. Sasa kama ruto ameapisha kithure Kindiki na amerudisha financial bill ya 2024, kuna Faida Gani kwa Wakenya? Watangazaji na wandishi wa magazeti muangazie maswala muhimu yenye yanaleta faida kwa wananchi na kuwauliza Viongozi kama Ruto. Amason Kingi na Moses Wetangula maswala kama haya. Je mkibadilisha Gachagua kuna afueni gani kwa Wakenya? Na je Gachagua amewazuia kutimizia wakenya ahadi zenu kivipi? Na kwa namna gani? Sio kumpeleka nyumbaani Gachagua tu na hali izidi kuwa mbaya na mufanye siri zenu za kuuza states coperations sababu Pingamizi wenu mumemuondoa kwa offisi. Kwani Adani ndio ataenda kwao maana Gachagua ameenda? Ruto hataki kuambiwa ukweli na hili jambo ndio tatizo kubwa sana nchini Kenya kwa sasa. Tunatatizo hapa. Ruto anatumia hata Police na ako tayari kutumia Jeshi kutekeleza agenda zake za kibinafsi. Kama sivyo apinge? Kwqni Adani alifikaje Kenya kama yeye hahusiki? Kwani billions of dollars za maendeleo ziliibwa yeye alikuwa wapi? So kuleta Prof. Kindiki sio suluhisho kabisa ya matatizo ya sisi Wakenya

Shida bado ipo
Kwan umefiwa unaomboleza

Huyu mwingine ni Abrey
I use to think that, it’s only my country where people can talk an hour, but talk nothing. It’s an Africans habit.
Gemini circus
Huyo president sio wa kushauriwa anafanya vile anataka ni bure kabisaa
Kawaida yenu
Government kazi yeye imeefanyia wakenya nikutoa gachagua🤣
Ruto umechelewa wewe jipange uwende nyumbani mapema sana
Kabla Raila afike Bondo gachagua ndio ametangulia kufika mathira,kweli madharau ni mbaya
ruto n mtu hana plan for the county n kuiba tu