Kijana Eric Nyairo wa Nyamira atengeneza ndege

Author Avatar

Citizen TV Kenya

Joined: Mar 2024
Spread the love

Kijana Eric Nyairo wa Nyamira atengeneza ndege


Ubunifu ni mojawapo ya ajenda kuu za serikali ya Kenya Kwanza na vijana wametakiwa kujibidiisha kwa sekta hii ya ubunifu. Msukumo huu ni mojawapo ya juhudi zinazofanywa na kijana mmoja kwa jina Eric Nyairo kutoka eneobunge la Mugorango West kaunti ya Nyamira ambaye ametengeza ndege! Kwa Eric, japo ndege hii ya muigo haijaweza kupaa, ana imani…

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

26 Comments