Kenya News: When Uhuru, Ruto and Raila Met at State House | Tuko TV
Kenya News: When Uhuru, Ruto and Raila Met at State House | Tuko TV
Kenya News: When Uhuru, Ruto and Raila Met at State House | Tuko TV
Subscribe to Tuko TV on Youtube: https://goo.gl/y8QBbm
The President Uhuru Kenyatta led the ceremony in state house where strong trail blazing women shaping Kenya’s history were honored for their achievements. The president was joined by his deputy William Ruto, Former…
source
Reviews
0 %
Ruto has nothing to tell women and he can't say anything without mentioning the name of raila.
Jackson
Sasa umekuwa president alafu wauza mombasa Port pamoja na wana inchi e ruto nini mbaya
Grene Schait Maleko
2 weeks ago
My comments is to Support what is there know untill the end of it. kwa sababu tusiposupport ni wazi kwamba hatuelewi ni nini kishafanyika, ama kitafanyika na ni nini kinachotakiwa kufanyika. Ebu mpongezeni Baba Uhuru Kenyatta aweze kumalizia ile kazii ambaye ashaianza, kwa sababu wanaoteseka ni wananchi wasio kuwa na hatia, Tunaelewa wazi kila mtu ataweza, tukingoja wakati wake tutamshinda shetatani ambae hufikiria kila kitu anaweza peke yake. Tena katika mikutano tuongee tu yale ya kujenga nchi yetu ya Kenya kwa wote Tajiri Masikini. Sio kutoa vitendawili kwa mikutano.
News from Mama Massai
Mimi ningependa kuwaeleza kua Prostution na Terror zimeanzia wapi?, Kuhusu youth, Nafikiri mpendwa Baba Uhuru Kenyatta unaelewa kua vijana wengi hawana namna ya kuishi kwa sababu vijana wengi waliingia Kenya na Wazazi wao wakiwa watoto wadogo, ama walizaliwa hapa nchini. Na hao ambao walitoka nchi mbalimbali, mazee hawa waliishi hapa kenya kwa shida sana pamoja na familie zao kwa machungu tu. Hawana Kibali na pia watoto hawana kibali. Eti mtoto huyu atasoma na akimaliza masomo hapati Makaratasi ambae itamwezesha kupata kaz. Je, niambie kama hatafiria uhalifu, ni lazima afikirie kwa sababu anataka pia kuishi. Ndio hapo hongo ilianzia, Nataka kuwaambia kua kila mwanadamu anaruhusiwa kwishi katika hii dunia ni mradi umpatie kibali ambacho kinalingana na sheria, kwa sababu hata watoto wetu waliongia nchi za nje, walio kuja pekeyao ama na wazazi ama kimasomo waliptiwa kibali bila hongo ili waweze kuishi.
Ni hayo tu nataka kuambia
Wenu Mama Massai
My comments is to Support what is there know untill the end of it. kwa sababu tusiposupport ni wazi kwamba hatuelewi ni nini kishafanyika, ama kitafanyika na ni nini kinachotakiwa kufanyika. Ebu mpongezeni Baba Uhuru Kenyatta aweze kumalizia ile kazii ambaye ashaianza, kwa sababu wanaoteseka ni wananchi wasio kuwa na hatia, Tunaelewa wazi kila mtu ataweza, tukingoja wakati wake tutamshinda shetatani ambae hufikiria kila kitu anaweza peke yake. Tena katika mikutano tuongee tu yale ya kujenga nchi yetu ya Kenya kwa wote Tajiri Masikini. Sio kutoa vitendawili kwa mikutano.
Hey Raila ako serious! He's so bored with speech
Uhuru is my favorite even if I'm Tanzanian
Ruto…pack u suitcase
.
ur the next man in the house on the hill
Rails be sure….ul NEVER EVER preside over kenya….U SIMPLY WILL NEVER BE KENYANS PRESIDENT…..
Age matters a lot we want Africa where leaders agree to retire at a tender age to allow others to rule. Africa leadership is too old.
AM coming home to vote for DP RUTO AS MY PRESIDENT FRM kismayo
It's time for African youth to rule and take the continent a head socially and economically.
Acheni baba aitwe baba
Ruto kura yangu moja itakuwa yako boss
I so much like it when my great leaders laugh and work together…Kenya mbele…hiphiphip huraaaaahhh
so it's true you have weaknesses ???
Humour ni sabuni ya roho. It is refreshing seeing "antogonists" in a jovial mood. This is wonderful clip. I wish this could always be the spirit.
😂😂😂😂Rutto power
Ruto ni moto wa kuotea mbali nanii
aki baba hapo umesema vibaya
😉