Jinsi ya kupika Maharage ya Nazi matamu sana (Coconut Beans Recipe )…..S01E27
Jinsi ya kupika Maharage ya Nazi matamu sana (Coconut Beans Recipe )…..S01E27
INGREDIENTS
Boiled Beans
Carrot
Capsicum
Onion
1 Tomato
1Scotch Bonnet
Salt
Olive Oil
Coconut Milk
Song: Usiniache
Artist: Dallarz
Instagram: https://www.instagram.com/bmagickitchen/
source
Reviews
0 %
Hinger sana 0:58
Wow so amaizing
Asanteee
Who is here in 2024
Yan nmependa sana unavyo elekeza ndg yang mpk nmejarib kupika na mm
Ehee
Wooow i love it🎉
Mbona chumvi ujawek😋
Sorry mbona chum ujaweka mpishi
kama hutumii pili pili kali nimeona umesaga kwanyanya
Asante sana
Kama mimi safi sana!
Sasa unatanguliza tui jepesi kwanza ama unaeka zote kwa pamoja..hujaonyesha
Just know that when i wanna try something new, i always visit your page😊👌🏻Thanks
Mom unajua Jaman kupika
Thank you for this simple recipe. My meal ilikuwa tamuuuuuuuuuu! I used pojo and it still came out delicious. Shukran!😊
Harage pambe
Nesfast ndiyo nazi?
Kingereza matata
Iko pw kabxa
Usikoroge sana yatarojeka hutakula maharage utakuja mchuzi wa maharage but excellent
B
Ajjabest
Nime enjoy sana❤❤❤❤❤❤❤,easy way to prepare beans,be blessed sister
Which beans are those
Yellow beans or redkidney beans
Mashaallah 🥰
❤❤9
Nice simple recipe
So Siri ya coconut milk isikatike ni kukoroga Ukiweka?
Yummy 😋
Yummy 😋
Yummy 😋 😋 Naomba plug ya pahali naweza nunua kisagio cha 🍅 na 🌶
Wanawake wengine huwa wanajifunza wapi! Mbona hawapiki hv??😂
Waoo yani mate yananitoka hapa