“HATUHUSIKI NA MAANDAMANO, TUKO TAYARI KWA LOLOTE”, POLISI KIGOMA WAFANYA DORIA KUIMARISHA USALAMA

Spread the love


“HATUHUSIKI NA MAANDAMANO, TUKO TAYARI KWA LOLOTE”, POLISI KIGOMA WAFANYA DORIA KUIMARISHA USALAMA

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Prove your humanity: 5   +   8   =  

38 Comments

  1. Uchawi unatawala ndani ya CCM ndio wanasapoti Harmonize Mzee Popo kuharibu kazi za Diamond Platnumz kwenye youtube na uchawi….Aibu Tz😭😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  2. Kazi kuwatia raia hofu tu na kuwaharibu mafuta ya kodi za wananchi hivi ving'ora vyote mngekuwa ndo mnatafuta watu wanaoteka wenzao na kuwaua tungewaona watu wa maana kuwa tuna jeshi la police linajali uhai wa wananchi hapa mnatuziba midomo ndo tafsiri yake haya bhana amna jinsi ila naamini ata baadhi ya police awapendi ila ni vile watoto na wake zao wanategemea hiyo kazi wanaamua kuforce ajira zenyewe Akuna

  3. Yani mnatumia pesa bila sababu za wananchi, juzi nimemuona mama anaomaba msada mtoto wake ulimi umetoka nje umajaa mdomoni, anaomba msada wa laki 6, ana lakini rais anawapa simba na yanga milioni 5, kila gari, posho za mapolisi hawa, kweli lakini, Mungu tunakuomba ingilieni kati , tunadhulumiwa haki yetu, na wana CCM

  4. Wtz msipende vita mngekutana na watu nchi zao zilizopitia vita wakusimulie unasema libarikiwe jeshi la polisi na jesh la wananchi jwtz fanyeni kazi yenu hatutaki vita chapa kbsaa ambae haeleweki wasilete uchupi

  5. Et ..tunaandamana kwa manufaa ya nani..?? Watoto wao wapo mwakwao wanakula vzr mishahala inaingia..wanatembelea magali mazur..cc ata baskel hatuna..Eti tuandamane tukivunjwa miguu nani atakuja kutuhudumia…??