Hakuna kutoa kibali cha kuingiza mazao yoyote ya Afrika Kusini na Malawi

Spread the love


“Hakuna kutoa kibali cha kuingiza mazao yoyote ya Afrika Kusini na Malawi”


Tanzania inapanga kuzuia uingizwaji wa mazao ya kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini kuanzia Jumatano Aprili 23, 2025, endapo nchi hizo hazitaondoa vikwazo vya kibiashara dhidi ya mazao ya Tanzania

Waziri wa Kilimo wa Tanzania, Hussein Bashe, amesema hayo kufuatia uamuzi wa Malawi wa kuzuia uingizaji wa bidhaa kutoka Tanzania kama vile unga,…

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing