
FISTON MAYELE ALIVYOKUTANA NA ELIE MPANZU, SEMAJI AHMED ALLY NA WACHEZAJI WA SIMBA ANGOLA
FISTON MAYELE ALIVYOKUTANA NA ELIE MPANZU, SEMAJI AHMED ALLY NA WACHEZAJI WA SIMBA ANGOLA
SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: https://simbasc.co.tz/
📱 App Store – https://apps.apple.com/tz/app/simba-sc/id1564389213
📱 Play Store – https://play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&hl=en
🔵 Facebook: https://www.facebook.com/simbatanzania/
📸 Instagram: https://www.instagram.com/simbasctanzania
𝕏 Twitter:…
source
Reviews
0 %
Yadashabaniguriguri
Hatuwez mchukua huyo mana yanga ni tawi letu
mayele arudi bongo kam hatak simba hat jkt tuu bas akuje kutetema😂😂😂
Makoro
Wwwxxx
SIMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Mayele ubaya ubwela😂
Leo tunaitaja alama 3 god bless simba leo.
Anafuraha akiwa karbu na mnyama! Tajiri moooo weka helaa apooo, please like
Acheni Tamaa Mayele Hana shida Ya Kuchezea Timu Ya Wagangaa Shenz 😂😂😂😂Kazi uharibifu Tu Mnataka Aje Mumfundishe Nini Kwa Mfano 😅😅😅😅 Huyo Ni Mwananchi Tuuu Yangaa Daimaaaa💚💛💚💛
Mpira sio uaduii mbona semaji la 1
Yanga na simba ni washikaji
Kila akitupokea huwa n kipigo aache shobo
Mayele sijapenda
UBAYA UBWELA
vip jamAn anakuj au
Af mayele mchawi we subiri utaona kashasema tumeijia point 3 wajamen…mnachukua point3 mayele hyo
GORAMA WAS HERE🔥🔥
MAYELE TUNAKUPENDA SANA SIMBA SASA KWANINI USIJE SIMBA?TUMEKUMISI KUTETEMA KWAKO.NJOOO UTETEME SIMBA
Leo simba hawafanyi zoezi pale
Mungu akisemandio hakuna wakuzuia mungu tunàomba utupe kibali chaushindi kwenye mchezo wakesho amen❤❤🙏
Mpanzu na mayele bora nani? Bora Mayele.
simba nguvu moja
Mayele welcome Simba
Unyama mwing
Asituzowee wkt wao wenyew wanamcgezo hapo uwanja uwo uwo
Hawa wanaumia san na mayele kawafanyia mamb makubw lkn bado wanamchukiq bs mpen mikuu iwaum zaid