Familia yalilia haki baada ya mtoto wao kufa baada ya kukanyagwa na basi la shule
Familia yalilia haki baada ya mtoto wao kufa baada ya kukanyagwa na basi la shule
Kifo tata cha mwanafunzi
Mtoto wa miaka mitatu afariki kutoka basi la shule
Inadaiwa alifariki baada ya kukanyagwa na basi hilo
Mtoto alianguka kwenye basi kabla ya kukanyagwa
Familia inataka hatua kwa dereva, na shule hiyo
source
Reviews
0 %
Lord. What careless school!!!!!
GOD THIS IS A NIGHTMARE..
How? Sad, no one to over tge kids?
Mlisema matia'ng ni mjinga aliposema hawa madereva wapelekwe shule wapate maleseni , hamkusikia😎
Mkale kiptoo rip
Then the principles ndio wakuongea vibaya sana
Hizi shule zko ivo tu😢
Mtoto amekaa aje kwa mlago
😢😢😢😢😢Lakini surely surely???!!!! Aje mtoto Kwa mlango kukosea sana mtoto wa 3yrs😭😭😭
Whats 30 k 😭😭Mercy pole sana kwa msiba😭😭😭ur kid needs justice
Oh my God…Please give the family comfort. So so painful!
How did he open the door,how comes no conductor
Jamani..
A 3 year old opening the door and jumped out?Kenya kuweni serious
Kwani bus ya shule hainaga caretakers
The fact that the bus didn't drop the boy but decided to bypass home shows that the boy might have died in school and accident staged. Managed
hiyo ni ajali,,,,may him RIP
hizi gari za shule madereva wangi sio competence .
Soory kwa wazazi
Hawana mlezi wa Hiyo gari
There should have been a teacher in that bus
thats why i prefer to drop and pick my kids from school,i have seen this carelessness on the road so many times,young children unattended in school buses plus over speeding!
Woyeee inamaana hakuna msimamizi wa hawa watoto wakiwa kwa gari dereva isingekua rahisi kwake kupeleka gari kwa usalama pia kuangalia watoto huku nyuma xo wahusika wote wa shule wabanwe kabisa
Wuuuuueh😢😢😢😢
Oooh my Gosh this is really painful
Sacrifice..may your soul rest in peace young child .. very sad…
It's very disturbing,especially to many parents who have kids in such like schools,the government should intervene so that they could get justice
Condolence to his family, very sad story
this is pure negligent u have a case with the school sue them.
Someone make me understand please, mtu amegongwa na Gari, amejinyonga, amekatwa kichwa, amezama, why do they go to Pasua mwili? I mean the cause of the death is already well known. Au Kuna vitu hawa watu huchukua kwa miili za wakufi? Nielewesheni msinitusi.
Hivi vifo vya shule ..sio vya kawaida
Vipi mtoto wa miaka afungue mlango the door was 0pened very sad may the kid rest in peace
Too bad God take control please 😭😭😭😭
Pole jirani😢
That sch must be sued. It will not bring the child back, but theyl learn the hard way n never cause another death
This is soo evil
In whose hands are our children safe?
God have mercy
Mbona hawakulock mlango,ju kaa umebeba watoto wadogo ni lazima kua carefully nao,,na njia nzuri ni kulock mlango
Poleni kwa familia😢😢
May GOD always protect our kids.May the young soul rest in peace
Mtoto anafungua gari aje
Oh my God, kwani driver bado anaingialia watoto? Careless driving careless. Madeleva wetu 😢
3years anatoa wapi nguvu ya kufikia chapii ya mlangu na kuufungua wapi,,,watafute tutoto twenye tulikua kwa basi tuhojiwe
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Na conductor mwenye huchukua watoto na kukaa nao kwa gari alikuwa wapi coz driver alikuwa mbele
😭😭😭😭😭😭 well miss your video baby boy
Wooiyie wooiyie mungu wangu, mbona mbona ni Uchungu 😢😢😢
Mtoto arona draiva amepita kwao ndio mahaana hakaruka