Familia ya Lucy Wambui, mwanamke aliyefariki baada ya kufanyiwa upasuaji wa kimapambano yalilia haki
Familia ya Lucy Wambui, mwanamke aliyefariki baada ya kufanyiwa upasuaji wa kimapambano yalilia haki
Familia ya Lucy Wambui Ng’anga, mwanamke aliyefariki baada ya kufanyiwa upasuaji wa kimapambano sasa inalilia haki kutoka kwa hospitali iliyohusishwa na upasuaji huu. Familia yake ikilaumu kituo cha Body by Design kwa makosa yaliyosababisha kufariki kwa jamaa yao. Na kama Ode Francis anavyoarifu, upasuaji wa maiti unaonyesha kuwa Lucy alifariki…
source
Reviews
0 %
Women women
Akome mbwa huyo,unamsahihishaje Mungu?safi sana mnashindana na Mungu?
Shida ni lucy mbona utoe Mungu makosa
Musimtoe Mungu makosa ameshakuumba na wwe wamwambia hajakuumba vizuri
Kwani alikuwa anajiongezea urembo wa nini pili she was a mother what else did she wanted to be ????????
😮😮 si angekaa hivyo na Ako na bwana
Let's be sensitive to her family and friends whilst commenting. They loved her.
Nastiness will not bring her back. She's gone. Her only crime is she wanted to look her best.
People have also died from working out, dieting etc.. let us stop being judgemental.
Mbona mnamtoa Mungu makosa??Haya ona hasara hii
Aki wanawake na Nyash sasa ona kukusoa MUNGU😂😂
It was for reducing weight….not the usual plastic surgery for face or breasts enhancement
With that type of bleaching wound healing takes forever or not.
that poor poor husband. God have mercy on him. Yall STOP VICTIM SHAMING. weight loss surgery is common and you should be demanding justice because the doctors ought to practice due diligence. Western countries would be sympathising but nyi ak1li zenu ni primitive tu sana pamoja na umaskini
Sasa Niulize tu…did the lady tell anybody about what she was going to do?it’s really sad..how now?did she even tell the husband what she was going for??aki maswali bila jibu..ladies let us appreciate what God has given us..
Upasuaji ya kimapambo?
Haki wanawake mko na mambo,angalia mwenye anatengenezewa nyash😂
Yeye ndio alijipeleka
Bado watu wajenge miili kwa matofali sasa
yaani mnakosea mungu Tu ,,, sasa ona ,,,ni mapambo ya nini,,,uonekane na nani,,,oneni aibu nyinyi mnao io akili ya mapambo na mkiingia hio chumba ya mkue mnaeda mkiedaga ivo ivo tu
Huyu alikuwa na mpango wa kando juu Mzee hakai Ku body shape mtu😢
Let's look natural
Na kuna mwingine saa hii anataka kwenda kufanya surgery 😂😂😂 sasa mwenye alijipeleka na daktari mwenye hospitali mwenye makosa nani wa kulaumiwa hey hakuitwa yeye alienda na je angefanikiwa huo upasuaji mngelilia haki ya kuwa amefanyiwa upasuaji poleni lakini mwiba kujidunga mwenyewe hauna pole😂😂😂😂
Hii ni maajabu msiba wa kujitakia
Alikua anafanyiwa nini na venye ako sawa hapo kwa picha?🤔
Anyway may her soul rest in peace
Msiba wa kujitakia hauna kilio,mungu hakosolewi, ladies wenye tabia hizo jifunze kutokana na hili
Afadhali nikae na potty yanguu juu hainiombi pesa ya kuibeba ,hii ushenzi ya body designing siwezi fanya. anyway rip
Sasa ata alikua mono wapi accept your self the way you are sasa ameacha hiyo Mali yote
According to her look and the outside appearance of innocent husband sidhani kama urembo huo ulikua unapangwa kumfurahisha mume huyu. Kwani mnataka kuwa kama nini vile?? 🤔 🤔
Kwani nilasima MTU atengeneze shape pole wacha nikae vile nilivyo😢
Aki Mimi tu Mungu nipe pesa hizi nijenge tu kwangu Wala si ku design body