Familia moja inalilia haki baada ya mwanao kuuwawa kinyama

Author Avatar

Citizen TV Kenya

Joined: Mar 2024
Spread the love

Familia moja inalilia haki baada ya mwanao kuuwawa kinyama


Familia moja kutoka kijiji cha Kabwareng kaunti ya Nandi, inalilia haki baada ya mwanao kuuwawa kinyama na watu wasiojulikana kisha mwili wake kutupwa katika mtaa wa Witethie kaunti ya Kiambu.

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

4 Comments