Diamond Platnumz Atangaza Siku ya Harusi yake Mbele ya Mama Yake kwenye Harusi ya Esma
Diamond Platnumz Atangaza Siku ya Harusi yake Mbele ya Mama Yake kwenye Harusi ya Esma
Tuffolo sasa:
___________________________
Instagram https://www.instagram.com/OphoroTube
_______
Facebook https://www.facebook.com/OphoroMedia
________
Tiktok https://www.tiktok.com/@ophorotube
source
Reviews
0 %
hamna lolote
đđđđ mko wajanja sana kwa nini pesa munamapatia mama muzazi kwa nini musimpatie anaeolewa Esima apati pesa ya mondi inaenda kwa mama yake đđđđ
Harusi ya ngapi hiii Esmađ đ đ
Mrs Diamond Platznum mwenyewe wa kwanza na wa mwisho â€hapa hatoki.â€
đ„đ„đ„đ„đ„đ„đ„đ„
Eee amuoe zuchu
Mama yake Esma yuko wapi mbona hatumuoni
Kiki zime kwishađđđ
Yaani Simba amechoka na harusi za dadake mpaka ameamua kuvaa vest.
Asma ndugu yetu harusi ya ngapi hii ungeifanya kimya kimya ingekuwa powa my bila sherehe đđđđ
Watu. wapenda vigelegele maana kuna watu kutwa waolewa / waoa. Wakiachana .
Kwani ilikuwa ninini
Angejuwa anania ya kuowa kashaoa zamani
Anaweka watu a tension kwake ili kuua nyimbo ya harmonize
Kiki hiyo
Mmh!!!! Hatimae ety Simba atake kuoa makubwa hayoooo
Hebu dai muowe zuchu uwakate watu midomođ
Akioa nakunya tena mpaka mwili umemlegea anayonga yonga kama mnazi na kimbunga