DIAMOND NA HARMONIZE WASHIKANA MIKONO NA KUZUNGUMZA IKULU WALIPOKUTANA “NAKUPIGIA POKEA”
DIAMOND NA HARMONIZE WASHIKANA MIKONO NA KUZUNGUMZA IKULU WALIPOKUTANA “NAKUPIGIA POKEA”
Reviews
0 %
😢😢😢 MWIJAKU UMEPIGA HELA ILE MBAAYAA KWENYE KUPELEKA MUKONO WA CHAMWIKA USHIKWE.😢😢😢😢 TABIA GANI IZO WEE MWIJAKUU
🎉😢😢😢 BAABAAA MKONO UMEISHIKWA BIASHARA IMEISHAA ,,,R,I,P HARMONIZE TULIKUPENDA LAKINI BWANA SIMBA AMEKUPENDA ZAIDI 😢😢😢 R .I.P
🎉🎉😢😢 MAAMAYANGU ,MKONO UMESHIKWA ,,,,,, ,,,,,,BAABAAA ,BIASHARA IMEISHAA,,,, HARMONIZE R,I ,P TULIKUPENDA LAKINI SHIBU KAKUPENDA ZAAAAIDI 😢😢😢
Yan iyo sauti kama ya mwijaku ayse uyu kaka ni mbeya kaah 😂😂😂
Pamoja natfaut zanu ambazo zlkuwa zkisambaa ktik mitandao ykjamii nzur na mbay hivyo bas hakika leo mmetfunza kitu kikubwa san watanzania ama kweli maisha ynabadilka nalenye mwanzo halkos kuwa n mwsho mung awasmamie 🤲🙌love ❤
Siku moja ni vyema na sisi tusiokuwa watu maarufu tualikwe tukale na mama wa taifa pale ikulu
I like that 💚💚💚💛💛💛💚💚💛💛
KWANGWARU REMIX ON ITS WAY.
Mashallah mashallah mungu anapenda ivyo jamani
Wooooow 😲 is this for real?? this is really amazing🇹🇿❤❤ saf sana.
Ssi tuna mbili
Game inaenda kupowa
Like further like San
Hawa mabwana wamealikwa kuftari au wamealikwa kula 2 maana mi cdhani km wamefunga
😂nipe mkono nipe mkono tushindane unishindi kiuchawi unishindi kipesa
Mashaallah ramadhan kareem…
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂😂nynyi hawa watu walikua wanaongea mda sana tatzo letu watanzania tunapenda kufaham kila kitu😂😂😂……ila nivizur kwa vile wametuonesha kua hawana tofauti kati yao❤❤❤
Ftari wanaalikwa magwiji peke yao
Simba mnyamwezi hanaga shida na masnitch wadodo wadogo
Crown radio kwishaa 😂😂😂 Kiki zitaua watu
nimefurahiiiiii❤❤
Kwani mliambiwa ni maadui au nyie mashabiki ndo maadui
Dog kapewa mkono kapotea tayal😅😅
Muusogeze mziki wa Bongo sasa👊😊
Waooh ❤❤❤❤
Mashallah hongera Kwa rais wangu Kwa kuunganisha hawa watu kwan hiki ni kipind Cha Ramadan si busara kuwa na ma kando kando love you my president ❤
Mungu mkubwa kwa kweli final
Nimelia kwa furaha jamani 😅😅😅 nawapenda mno hawa watu jamani
Safi sana mabifu ayafai
Vina muda basi mmmh!!! Subirieni tuwape time😂😂😂
Eeeh mwijaku hypocrite wa hali ya juu 😂😂😂😂
Nimependa sana
Nimeshangaaaa utakutana ss wamaskin hatuelewan😂😂😂😂 watupe kwangwaru nyingine sasa😂😂😂😂
Tangu lini ufalme wa shetan ukapingana hao wanawadanganya
Waooh
😂😂😂 nipe mkono tushindane
Mashallah
MashaAllah kweli mwezi mtukufu…saum maqbul wa Ramadan kareem dangote and konde boy
Nitafulahi sana endapo wataachia ngoma wakiwa pamoja
Atimae tunaweza kutumaini kutakua na collab ya SIMBA na TEMBO.❤❤❤