DIAMOND ALIVYOSOMA VIFUNGU VYA BIBLIA, WAZIRI MKUU AMPIGIA MAKOFI
DIAMOND ALIVYOSOMA VIFUNGU VYA BIBLIA, WAZIRI MKUU AMPIGIA MAKOFI
DIAMOND ALIVYOSOMA VIFUNGU VYA BIBLIA, WAZIRI MKUU AMPIGIA MAKOFI
WATCH WASAFI TVđē
AZAM – 411 | DSTV – 296 | ZUKU – 028 | STAR TIMES – 444 & 333 | COCONUT TV – 20 | DODOMA CABLE – 113
LISTEN WASAFI FM đģ
88.9 DAR/ZNZ/PWANI đģ | 104.1 DODOMA đģ | 94.5 ARUSHA đģ | 97.3 MBEYA đģ | 94.9 MWANZA đģ | SHINYANGA 106.3 đģ | KIGOMA…
source
Reviews
0 %
Mungo akasema ndio hakuna wa kupinga undaokoka uweeđ
Mungu ni wetu soteđđâ¤
What!!!!!!God bless you Diamond. We will continue to pray for you so that Jesus Christ becomes the Lord and saviour of your life and spend the rest of your life to serve God using His talents in you to campaign for Jesus Christ.
Ninani alie mtakatifu, amu thihaki mwenzake,yesu tu ndiye tu alie mkamilifu,,utasangaa kumona diamond mbinguni
Vraiment ou va le monde d'aujourd'hui un musulman qui…
Amen đ
Sasa ww ni mweslamu au kafiri..maaana mweslamu hasapoti dini na kikristo..af kichwani msalaba..af unajiita mweslam..(ila kumbuka kuna kifo ukifa kafiri motoni hakuna lingine bro..mungu haangalii umaarufu wala haangalii pesa anangalia ..dini ya hakki na sinyengine niuslamu.. na huo uislamu usiwe mdomoni iwe vitendo na Imani thabiti
Huyu ni shoga .. nawasiwasi sama
Utaokoka na utaimba gospel ukimtukuza mungu ,katika jina la yesu nimeomba na kuamini, Amen.
Nasibu Mungu akujalie uvue hizo heleni na uko kusuka nywele tunavyoviona kwa macho ya nyama, Mungu akujalie akuokoe ,kama umeweza kushika biblia kwa mikoni yako na kusoma neno la Mungu basi nywele na heleni hutashundwa kuvitupia chini naamini inawezekana
Huyu yesu ameshamkumbali tayari amenyenyekea mbele ya kiti cha enzi maana amekiri kuwa yesu ni bwana
Anyoe nywele
Hata shetani pia husoma biblia .kwa hivyo hakibadilishi kuwa wewe ni illuminati.
Iinnalilah wainna illeh rajiun
Amebaki kusema Jesus is Lord,basi.đ
Diamond jibambe na Jesu huko synagogue,juu kuingia church,sijui ya wapi,đ .
Ahsante bro
Nikama maraika wa nuru huu ni uhuni mtupu
Yesu Aokoe Diamond
Kabla ya kutoa kibanzi katika jicho la mwenzio itoe kwanza boriti katika jicho lako. Mt 7. 1-5 biblia ni habari njema kwa watu wote hata kwa washenzi KOL 3.11
Naaam, naaam, nimependa sana kusema Yesu aliyesulubiwa ndiyo msingi wa imani yetu ya Wokovu hili jambo ni ufunuo usitumie akili kuhukumu â¤â¤đđđ
Tutulie.watanzania.wanadamu.tunapitia mengi.diamondi.Mungu akuokoe yaan mm nimegundua kama iliandikwA kila mtu hujiona.yuko sahihi alivo ila Mungu hupima loho.za watu Mungu atupe mwisho mwema
That's so good,,may GOD bless you Diamond Platinum
shetani naye vile asoma biblia,musidanganywe …
Turn around in Jesus name Amen
Kwani huyo nasi u kasilimu
Kwanza tubuni Dhabi muonekane Kama watoto Wa Mungu.
musidanganyike nduguzanguni!
Naheshm sana nasibu
AJAB UMESOMA HOTUBA VIZURI DYEMONT IMEKUWEKA KWENYE PICTURE TOUFAUTI KABISA NA MWONEKANO WAKO WA KILA SIKU
Ule utabiri uliotolewa na manabii wa wawili juu ya msanii wa Tanzania ambaye atakufa sbb ya pete aliyopewa na nyoka km ni diamond au ni msanii yeyote anayejua lile alilolitenda namuomba MUNGU muumba wa ardhi na mbingu amrehemu na watumishi wamuombee ili mkono wa giza ushindwe na mauti ikae mbali nae km ilivyo mashariki na magharibi mkonowa MUNGU ukawe juu yake akamtetee maana hakuna aliye mkamilifu
Innalillahi wainna ilayhi rajiun..
Nasibu mbona unaenda kinyume na dini yako humuogopi Allah
Amen barikiwa Simba wewe umenena vema
â¤â¤â¤â¤â¤â¤apo ndipo unapoamini MuÃągu alisema wakawanza wameisho wa mwisho wakawanza Ubarikiwe
Amina kwa somo zuri
Mungu akubariki na azidi kusema na wewe
Amen
Yote kwa yote ni faida kwa mungu. Utukufu unamrudia mungu lakini swali ni Je, Diamond anayafanya katika roho na kweli? Hatuhukumu lakini Diamond ndie ajuaye vyema.
Yeah alikuja kwa ajili ya wenye zambi
Mungu akupe baraka nyingi
Asante Yesu.
Ameeen mungu akutunze,IPO siku mungu atanena nawe
â¤â¤â¤â¤â¤
Nyoa hizo nywele
Hapo ukosawa
đđđđ barikiwa sana kaka
God bless you in everything
Upo vizuri sana simba