Corporal Caroline Kango joined the Kenya Police Force in 2008

Author Avatar

Citizen TV Kenya

Joined: Mar 2024
Spread the love

Corporal Caroline Kango joined the Kenya Police Force in 2008


Corporal Caroline Kango joined the Kenya Police Force in 2008
Her colleagues describe her as one of the best sharp shooters
Kangogo has worked at the Nakuru Central Police station since 2015
Kangogo is married to a senior officer and has two young children

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

48 Comments

  1. Huyu Caroline nampongeza sana tena sana! Niweze kumpata hata Mimi nitamlipua huyo ASKARI mwenye alinitishia mapema mwaka huu akishamchukua Bibi Na watoto wangu .Ninazo Copies of Birth Certificate s za watoto wangu .Hapa naumia kimawazo baada miaka kulea watoto wangu .Hasa kuna mtoto msichana ELIZABETH NYABWARI nasikia wamewabadhilisha stakabadhi zao . Kujitapa kuwa Na Pesa ndipo sitamweza .ASKARI kama huyo kwani nikipata pistol si kuchapa tu.Maana huenda Haki yangu nimefinywa

  2. Heri inafaa kuchunguza kiini cha hayo yote ! Ijapo amefanya hayo .Labda alikuwa akigandamizwa kwa kila hali pasipo Na njia ya kusikika hisia zake .Kwani kama binadamu mwenye hisia angefanya nini?
    Hawa ASKARI wa kiume wamezoea kudhulumu hata raia wa kawaida ! Kama wameona jinsia ama gender ya kike hawafai ndipo kudhulumu! Basi alifanya vizuri kuwalipua maana where diplomacy fails you have to defend or take action! Investigation be done to ascertain the cause may be due to much pressure.
    Kuna ASKARI hata Mimi ameninyanganya watoto Na kubadhilisha vyeti vya kuzaliwa ilhali yeye ametenga Na kuwatekeleza wake zake Na kuchukua wangu kwa nguvu.
    Hata Mimi nipate bunduki nitamlipua maana hako NAIVASHA kwa jina Wycliffe Fulani kutoka Bomachoge

  3. Whenever the public complain about corrupt polce officers the leaders dont care soon we will see policemen destroy each other through curruptions n greediness amongst themselves remember recently another lady cop was making waves on the internet complaining abt the top cops

  4. We all know how kenyan cops are corrupt .This looks like a deal gone wrong among themselves.And she might be getting help from some fellow officers ..lets not waste our time on this ..The police are playing games here

  5. Labda aliambukizwa aids na shida ni hajui nani alimuambukiza sasa anaenda akiuwa wote wenye amewai lala nao.. ata akinunua line mpya atapatikana tu ju ya details maybe ako tu mahali kwa hotel na false identity. Huyu labda ajitoe ju sioni wakimpata remember she's a police officer so anajua mashimo

  6. Kawaida tunajua kenya police force kwa kuekelea visababu once ukisha kiuka umoja wao na kujitenga. Kumbukeni hao ni kenya police force walio ozaaaa