Christina Shusho – ZAKAYO #slidedigital #gospelmusic #zakayo #music
Christina Shusho – ZAKAYO #slidedigital #gospelmusic #zakayo #music
#ChristinaShusho #SlideDigital
(C) Relax Investment
Christina Shusho Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
https://ffm.to/christinashusho
Written & Performed by Christina Shusho
For Bookings: cshusho@gmail.com
Follow Christina Shusho on:
https://www.instagram.com/christinashusho
…
source
Reviews
0 %
I love you ❤
Huyu walai ametunga hii akijua hali ya kenya😂 itakula vilivyo
Awww congratulations to you shusho this is a amazing
Hongera mama
😄😄😄😄hapo sawa zakayo shuka Sasa tumechoka
Our Zakayo is currently running under the name Anania😅😅
Zakayo umatupeleka mbio sana,sasa hii ndo ngoma ya maandamano
That guy was literally distributing stones 😂
Shusho ameamua kutuimbia sisi wakenya❤huu wimbo uwe mwokozi wa wakenya😢we've suffered!!Zakayo shuka!!😢..ooh Shusho,i love you sis❤omg,may God keep you mamaa..you're a blessing 🎉
Our zakayo is stubborn on the tree
Zakayo wa kenya anazid kupanda juu ya mkuyu tu 😸😸
Wow mummy asante kwa hii wimbo kazayo wetu anatuchuja sana😂
I used to love your songs.
I miss you Shusho ❤❤❤
Shuka na kwa Mumeo anakusubiri mama' Ni heri kuw wawili. kuliko moja'
❤
Asante for another great number!
Good vibes with kinamama around there 😂😂🎉❤
Kw nyimbo zko zanibariki
😂😂😂😂😂kenyans will love this song more,,,zakayo shuka 😢
Hamna faida kushtaki wachungajii
Hongera Madamu Christina ,wimbo mzuri sana
Our president also is zakayo😂😂😂
Yes mummy shusho I care about you. N I will always love u mom.. God bless you ❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
❤
Sikujua wimbo ulioahidi ulikuwa mtamu hivi. Ujumbe wa kutilia maanani. Neema uzidishiwe Shusho.
Napenda hiyo nguo yako
Aki Zakayo wa Kenya ashuke sasa 😢😢
Me i love you for free sis,i play yo songs here .may God preserve you for his kingdom forever amen
Waiting 🎉🎉🎉🎉🎉
Hi itakuwa hit, especially hapa Kenya tuko na zakayoh
Mwalimu umetaja maeneo ambayo hisia mbaya hupenda kukaa lakin hujasema Ni namna gan au njia zipi zinafaa kutumika kujilinda au kutoka hapo
Safii
Watu wanaongelea Christina kutoka kwenye ndoa lakini hawaangalii aliingia kwenye ndoa akiwa na umri gani, na huyo mume akiwa na umri gani. Hakuna watu wanaorubuni mabinti kwenye wokovu kama wanaojiita watumishi wa kiume.
Na amekuja kukua akajua alirubuniwa Mungu hakuwa kwenye hiyo ndoa.
Kenyans waiting 😇
Hu ndowimbowako mupya?
I love this woman .oh my God
Now Zakayo you have to come down,.. We're waiting for you here down