CHEKI DIAMOND ALICHO KIFANYA KWA CHRISTINA SHUSHO MBELE YA MAASKOFU, ZUCHU ANUNA

Author Avatar

athompson

Joined: Mar 2024
Spread the love


CHEKI DIAMOND ALICHO KIFANYA KWA CHRISTINA SHUSHO MBELE YA MAASKOFU, ZUCHU ANUNA


#Mwanahabari digital Fuatilia Channel ya habari za kijamii,siasa zinazohusu Tanzania
Akaunti zetu za mitandao ya kijamii
Instagram: habari_digital,
Facebook:Mwanahabari digital
Twitter:HabariDigital
Kama huja subscribe bado, tafadhali fanya hivyo na msahuri mwenzako pia

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

44 Comments

  1. from Malawi & i loved old shusho songs but since i saw that kind of dressing i feel like it invites other forces, very disappointing i can not judge a fellow human being upon Christianity but if your heart tells u not to follow listen to it and only God knows

  2. Sioni ubaya wowote maana sote ni Wana wa mungu na vazi lake limefinika mwili wote ni na alie na mungu ndani yake habangui na hafai kutenga yeyote tunapaswa kukaa kwa karibu Zana na kuwaubiria watu wajuwe mungu sio kuwa tenga na kuwaukumu jamani tujichunguze sana tunaojiita tumeokoka

  3. The plan of the devil is to hide the truth of the word of God, that people may not understand the right preaching from the wrong and the right gospel music from the wrong. Some are agents from hell

  4. Christina nikwambie kitu kidogo nakuchukia sana umejichanganya wewe umebadirika san mwanzo nilikuwa nakupenda sana Léo umeniangusha Christina diamond nibrother Yako ni kina Nani kwako wewe shetani mumeungana

  5. I knew long ago shusho was compromised when she critisized Rose Muhando publicly for exposing Tanzanian producer who brutalized her. What does light got to do with darkness here?

  6. Hakuna haja ya kuwanyoshea vidole na kuwatenga ndugu zetu katika kristo(God's ministers). Ibilisi amelivamia kanisa kwa hivyo ni jukumu letu KUOMBEANA mungu pekee anaweza kutupigania

  7. From kenya I fill good coz I ❤ them all watu muwacha kujifanya malaika na kukashifu wengine kama mungu angekuawa binadamu wengi wetu tungeishi mungu habagua yeye ndiye hujua nafsi zetu

  8. Huwo mimbaji alikuwa mzuri alakini pamoja na diamond atakufa Vibaya,Sasa vyadunia ni kifo,Mpenda pesa atakufa lakini Mpenda mungu atakuwa ,huu mimbaji ananigusa moyoni colabo na huuoo hapana anaenda Vibaya kweli

  9. Nikweli kabisa nguo aliyovaa ni sura ya nyoka na anapoimba sasa hakuna uwepo wa Mungu unatembea ametoka ktk roho yupo kimwili tuu. Wamama wachungaji unawafundisha kutupa waume zao na watoto wao eti ndo kumtumikia Mungu? Huduma yako ionyeshe matunda kwanza nyumbani mwako ndipo uipeleke njee.