Aniset Butati _Hatuna Muda (official Video)
Aniset Butati _Hatuna Muda (official Video)
Zaburi 13:5
Nami nimezitumainia fadhili zako ;Moyo wangu na uufurahie wokovu wako.
source
Reviews
0 %
Ujumbe mzuri sana ❤
anointed song
❤❤❤❤ hongera sana mtumishi wimbo nzuri sana nataka likes za Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏
Sasa broo mbona Obby Alpha hayupo ingependeza zaidi na Obby Alpha angekuwepo kwenye hi video
Hallelujah hallelujah hallelujah 🙌🏾
Short song but carries a powerful message…congratulations
Mwandishi mzuri sana mm nipo busy sasa hivi shambani mwa Bwana wangu🔥🔥🔥
Tuko busy….
Aksante sana
Hongera mwanangu ubarikiwe sana.
Mungu akubariki
Tupo bize shambani mwa bwana
Amina mtumishi🎉🎉🎉
Kqzi nzuri sna😊
Hakika ni nzuri sanaaa,Mungu azid kukupandisha juu zaid.very powerfully.
Mbona obby hayupo kwenye hii video kulikon
Big up brother God bless you
Hakika barikiwa kaka
Ameeeeeeeeeeen, barikiwa sana mtumishi wa MUNGU. Huu sio wakati wa kumpa shetani nafasi, ATATUCHELEWESHA.
Kweli kabisa tuko busy shambani mwa bwana
Ameeeen,
Tuko Busy all the time working in the garden of God.
Watching live from
Washington live states of America
26/03/2024
Ngoma Kali bro…..❤
Best friend from neighbouring country…God bless you Soo much Brother
You nailed it❤❤❤❤
Good music ❤❤❤❤❤❤
Saludos desde Mexico. Muy bonita musica
Hatusikilizi ya watu tena
Hatuna muda wa kusikiliza at fran kasemaje
Muda hautusubir
Tunawaza mambo makubwa
Tumeziba masikio hatusikilizi ya watu