Alikiba & Nandy – DAH! (Studio Recording Session)
Alikiba & Nandy – DAH! (Studio Recording Session)
Studio Recording Session with Nandy and Alikiba performing “Dah!” After an outstanding performance of the Original version “dah” by the african princess that has gained maximum attention from the music fans, now “DAH!” with King Vocals (Alikiba) to spice up this beautiful tune have been brought to life, with the lyrics paiting an artistic love…
source
Reviews
0 %
Du uwimbo ulimaza sana kinywaji.ila we nimwamba akuna ubishi
King kiba from 254❤
Hapo kwa pararaa naweza cheka vibaya😅😅
Safi sana kiba kazi nzurii❤❤
Ama kweli music ni feeling 😮😮
Sema jamaa fund
❤❤
Gai kwani huwa hivi vigumu kushika mistari😅
🔥🔥🙌
Bro hana majigambo wala mbambamba🎉🎉🎉🎉
nguvu mpya
king kiba🔥🔥🔥🔥
Its no nice working with nandy
wacha nitoe vocals hahahaha
💖💖💖
💖💖💖
Vip bor bana piya mimi Niko na ngoma sijuwi nifanye aje ndiyo itambe naomba ushauri wako bro
Kiba fundi san sikuping
Sk kizzy is the baddest sound engineer.🤝
Sk kizzy is the baddest sound engineer.🤝
❤❤❤ napenda kazi zako zote huna baya Alikiba
❤Pararahhhhhhh…….Akiyumbah na yumbaah,naenda nayee pararaaaaaaah😂
i had to look for it as big fun ,,the vocal with this guy and creativity is beyond imagination ,, i will for this guy apart from attending his concerts as regular
❤❤❤❤❤
Saluteee xan kk kiba nakuombea kw mung uzid fanikiw utuxaidie wadg zko
@Roshi
Ila maproducer wa Kenya mnapenda mtelezo sana
mau👍👍👍👍
Hatari sana
this song is so good
Fund sana kiba❤❤🎉🎉
King nini mbaya sio raisi kuimba 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Nimeamini Kiba genius wa muziki mistari anakuwa nayo lakini studio inaboresha,,, sijaona akiwa ameandaa karatasi ya mistari😂😂😂
Dahhhh mwamba umetisha pia unakubali kujisikiliza na kujirekebisha
Pia under ground wajifunze hapa coz mnapitia magumu studio wanapewa dk 20 tu ya kurecod so kumbe nyimbo rekodi inaweza chukua hata siku 2 kurekod😂😂
😂😂😂 kama kunawaliosikia fuck kutoka kwa king kiba gonga like😂😂😂
Kumbe mistari ikigom unaweza piga mtu kofi😂😂
Broo we fundi WA music bro
Mambo yako matoto kbx 😂😂
Dah nilijua kuimba nikama kumsukuma mlevi kwenye mtaro ila km nihiv acha t niendelee kua shabiki king huna baya
Mishale ya nane kasoro usiku, watu wanatafuta melody kali