Agape Gospel Band – Bwana ni Mchungaji Wangu ( Official Music Video )

Spread the love


Agape Gospel Band – Bwana ni Mchungaji Wangu ( Official Music Video )


Zaburi 23:1-2,4,6

[1]BWANA ndiye mchungaji wangu,
Sitapungukiwa na kitu.
[2]Katika malisho ya majani mabichi hunilaza,
Kando ya maji ya utulivu huniongoza.

[4]Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti,
Sitaogopa mabaya;
Kwa maana Wewe upo pamoja nami,
Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.

[6]Hakika wema na fadhili zitanifuata…

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing