Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

24 Comments

  1. Where are we heading….is this NORMAL? Something fishy is going on….killing of our siblings…girls and our mother's in a Law state?wake up Kenyans and say no no no…even one is so many!!!!!let's shout!!!!!

  2. Hii tabia ya wasichana wadogo kuwastia wanaume time with silly behaviour ya kukulia wanaume pesa pretending to love the man ,and behind the scene mnafanya umalaya na wanaume wengine wakati mwanaume mwenyewe ameinvest jasho yake yote kwako itawamaliza ,remember not all men have heart to forgive! tamaa na kutaka maisha ya juu kinyume na uwezo ndio inamaliza wasichana wengi wadongo!

  3. Wabunge ni kufuatilia issue za kishoga na kibinafsi kufaidisha mifuko Yao..issue ya rigy g Hawa umbwa hawakulala kabisa..hii utaona wote wamezip.kuwekwe Sheria Kali kwa wauwaji..utakua vip mwanamke surely?

  4. We need to Seek God's Intervention.. Kenya Our Mother Land.. You dedicate it to Our Maker.. This now more than any earthly been..supernatural demonic spirits are haunting us..

    Lord Jesus Deliver us.

  5. Kenya inafaa kuekwe sheria ya mtu alie kusudia kuuwa, kubaka ama kulawiti sheria iwe mwenye kufanya hicho kitendo hukumu yake iwe ni kifo ndio itakua dawa ya watu kufanya vitendo hivyo vya kinyama. Lakini utapata mtu amefanya hivyo akishikwa mara unasikia siku ushiriri za uchunguzi mara amehukumiwa miaka 20 akiachiliwa anakuja kuendelea na kazi yake ya unyama ama usikie amehukumiwa maisha but chakula anayo kula jela bado ni ushuru wa familia ya watu ambayo mtu wao aliuwawa na uyo uyo mfungwa na ama pia usikie kesi ilikosa ushahidi mshukiwa anaachiliwa bado anaenda kuendelea na kazi yake ya unyama. Alie kusudia kuuwa, kubaka, kulawiti hawa wote hukumu iwe ni kifo, sasa nataka nione wabunge na maseneta wakeshe bungeni wapitishe huu mswada kama walivyo kesha wakipiga kura ya kumng'atua Gachagua mamlakani

  6. My sister we will miss you so much ❤ i know the world will judge you but we are the only one who knew who you were i love you to infinity and back and we forgive but shall never forget what he did to you