HARMONIZE afunguka akiwa jukwaani “Nampigia simu DIAMOND tumalize bifu sababu nampenda” mashabiki…
HARMONIZE afunguka akiwa jukwaani “Nampigia simu DIAMOND tumalize bifu sababu nampenda” mashabiki…
Please subscribe now on our YouTube channel to be the first to hear about latest news and updates on Time.
#middlesimba
#WeAreEverywhere
#diamondplatnumz
source
Reviews
0 %
Apo umenifuraisha
Mwijaku ataweka wap sura yake
Anapenda attention tu ya watu km unataka kumpigia c ukampigie, unahisi huendi mjini mpk umtaje MONDI HUJIAMINI
Jinga sana naomba Dai asichukuwe hio simu ya huyu mwehu anatafuta Kiki kupitia Dai shenzi😂😂😂
Tunajuwa kuwa mmakonde mwezangu bila kumtaja diamond mambo ayaend
Hamo sauti inakata kaka
Konde boy unaiga mpaka nguo pana kama mond ila mond apewe heshima zake
Diamond Platnumz alishaipeleka Bongoflava to World level since long time kwahiyo aache shobo zake huyo mlima Korosho 😂😂😂😂😂😂
Mashabiki wanao mponda diamond nawasio mpenda mtakimbilia wap sasa😂 Kama hamo yeye bado anaheshim mchango wa maisha yake haya nyinyi mnao mchukua diamond tafuteni kwa kukimbilia😂😂😂😂 nendeni kwa mrisho mpoto😂😂😂
Diamond ni Kama maji huwez kuyakwepa ,Jambo haliend bila ya nguvu ya chib❤❤
Ifike mahala wasanii wetu wajue hadhira Yao, lugha anayotumia harmonize Kwa upande wangu sijaona kama ni vyema, sababu anaujumbe anataka kufikisha ila watakaokuwa wanamuelewa ni wachache mno
Dogo amekubali Kama amwezi,Sasa anaomba msama wa Master wake…Midlle nenda ka mwambie harmonize Kama diamond sio mchezo
Without diamond mziki wenu haufiki anywhere and guys inafaa muwe na respect Kwa bigi pia alikiba anafaa a respect diamond pia yy mwenyewe hamna kitu
Without diamond mziki wenu haufiki anywhere and guys inafaa muwe na respect Kwa bigi pia alikiba anafaa a respect diamond pia yy mwenyewe hamna kitu
Mwenye atapgiwa simu mwenyewe ndio hajielew 😢😢😢
Bilaa kumtaja Diamond kweli huendii mjini 😅😅😂😂😂😂
Hiyo siyo kweli
Ukifika kwenye mambo ya kumsifu Boss wako una post !
Apa kauwaah🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💪
Harmonize amejifunza mambo mengi KWA simba na bado anaendelea kujifunza.
Attention sana hii
Namkubali konde boy
Harmonize anajua hamuwezi Diamond Platnumz atakijigeuza Popo…kwahivyo anyenyekee 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿
Yaan nimetamani sna hiki kitokeee kma itakua kwel tutafrai sna mashabiki . Na alf linapigwa bonge la ngoma aiseee natamani sna iwe hivi coz machuki y sio y msingi kwa binadam hayana maan yoyote 🙏🧏
Ilo kama sengelele 😅
Aliyemwambia simba ana beef na yy ni nani? Yy ndio huwa anazungumzia hilo beef lake la upande mmoja. Amalize kwanza beef na kina cheed, killy na angellah maana huwa wanamnyea sana kwenye interview zao
Huyu hata sijaelewa hicho kizungu!!!!! Anataka urafiki lakini anaona aibu
Kijana amekua sasa nipe like zangu
Konde to the world 🌍
Huyu jamaaa hamna kitu hivi Kuna siku imepita bila kumtaja mondi
Shobo tu, lazma amtaje diamond ndo askizwe. Hawezi kujitegemea huyu mdogo
Huyu kijana ni mchungu sana much love from Kenya guys like back ❤
Anataka kuzima ugomvi wa zuchu na Diamond wamzungumziye yeye
Sioni sababu ya kumarizana hapo hata mkiwa pekeyenu inafaa
😂😂😂😂
Alikuwa anatafuta hype yaku introduce hyo ngoma Kwa show
Tatzo kaongea kingereza Mimi sijamuelewa kasemaje. Aliye mwelewa konde antafsirie.
Konde boy mjeshi ❤❤❤❤
Harmo Hana shida ila tuu machawa wa wcb watapata unga wapi 😂wanajua bakuli lao ni bifu