Kijana Eric Nyairo wa Nyamira atengeneza ndege
Kijana Eric Nyairo wa Nyamira atengeneza ndege
Ubunifu ni mojawapo ya ajenda kuu za serikali ya Kenya Kwanza na vijana wametakiwa kujibidiisha kwa sekta hii ya ubunifu. Msukumo huu ni mojawapo ya juhudi zinazofanywa na kijana mmoja kwa jina Eric Nyairo kutoka eneobunge la Mugorango West kaunti ya Nyamira ambaye ametengeza ndege! Kwa Eric, japo ndege hii ya muigo haijaweza kupaa, ana imani…
source
Reviews
0 %
For a plane to fly…one thing people mise is lazima ikuwe na a very strong engine
At least he will get a breakthrough he deserves 🙏🏾🙏🏾
Jaba 😅
Bless bro
Sasa hii ni ndege ama toy tukuwe crias banaa😅😅
Omg..very genius
😅
A senior Engineer in his village for 20yrs, incredible👏🏿
Huyu jamaa asaidiwe juu ako na kawazimu kazuri naakipewa nafasi ya kukaa na wataqlamu zaidi anaeza kua mnoma
Your dream will surprise many, ask for assistance from the public through through mpesa.
There was one Etyang from Kocholya in Teso who even flew his but the best he got was media coverage
Kwani kila mtu anatengeneza ndege. Let's make things that will solve problems in society
Finally some positive news from AbaguKisii Land…ghakiiiiiii😂😂😂🏁🇰🇪
Karibu niseme utoto loaded successfully
Kenyans with reinventing the wheel. What for?
Eric kindly do some engineering lessons. The structure
is too weak to fly.
Akili bila maarifa ni useless. This is a toy for kids
Mlikataa kuleta ya Kericho 😂😂😂😂
Osoro nature this talent
This is so encouraging,this guy should be supported
Noma kweli kweli. Endelea na Kazi bro
Wow👏👏👏👏👏👏congratulations
yaani hii vitu haijaisha
Big up Sana bro