Protester hit, injured by tear gas canister on Kimathi Street
Protester hit, injured by tear gas canister on Kimathi Street
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
source
Reviews
0 %
Si mnaona vile polisi wanavyofanya na hivyo ndio wanatoa vitisho kwa wanahabari maana wakitendeleza uhalifu wasijulikane ama tusijue nini kinafanyika kenya wananchi tunaitwa criminals ilhali criminals ni hawa polisi unaona vile gari zinapita wanapita mbio mbio wakishuti mwananchi ambayo iko kando ya barabara haki za wananchi ziko wapi zakayo must go ✊🏼🇰🇪
Poice siku moja mtakuwa rai mtajuwa tu
Angekufa ingekuwa sawa
Mukumbuke mūngīkī walianza hivi na mwishoe walishinda selikali nawakakua sumu kwetu raia kwahivyo mchunge hawa vijana wasije wakwa kindonda na kilio kwetu raia