MOSE IYOBO KAFUNGUKA UHUSIANO WAKE NA RUBY “TUKO PAMOJA MUDA MREFU, PENZI JIPYA, NIMESAHAU YA NYUMA”
MOSE IYOBO KAFUNGUKA UHUSIANO WAKE NA RUBY “TUKO PAMOJA MUDA MREFU, PENZI JIPYA, NIMESAHAU YA NYUMA”
Ni baada ya Headlines za mtandaoni kudai Dancer wa Diamond Platnumz, Mose Iyobo kutoka kimapenzi na msanii Ruby sasa leo ameamua kuyaweka wazi mbele ya waandishi ya habari.
“Kwenye upande wangu mimi na Ruby tuendelee tu kuwa na subira hii ni mwaka wa pili na dhumuni letu kwenye birthday yangu ndio niweke wazi, nimejuana nae muda tu sema…
source
Reviews
0 %
Mapenzi ya wasanii wa bongo bhana n show off za kutosha. Hizo ni kiki tu
Daah Yaan wanaume hatari
Kulfi
When did you guys first meet NOT When did you guys first met.
Capo yako ww na rubi wala hamjaenda,ila wacha tuone km rubi atakuwezaa mana ww mkono wako mwepesi sn kupigaaa hahahaha
Wasanii wa bongo kwa kugeuzana vichapo vya mapenzi na wakianza kuumwa na kudedi wanadai wamelogwa kuwa upupu wanaobadilishana kila wakiachana
Ujinga wa mbongo uko kwenye ubongo wake mwenyewe , unaitwa ubongo zuzu, jomba kupata mafanikio kidogo tu. anafikiria kuongeza watoto , ndio maana Tanzania kila kukicha ni kujenga vyumba vya madarasa na vyoo maana watu wanazaa kama panya. Yaani laana tupu Tz ni kupandana tu, ukimwi, wizi, ukatili na kuzaliana kama panya na ukiuliza mtz ni bora kwenye Kitu gani Labda kucheza singeli na starehe na kuchepuka.
Mambo ya kuswapiana💞
Yetu macho
Hongera yoooobo,