MEYA APIGA MARUFUKU KUVAA BARAKOA “ATAKAYEVAA AKAMATWE ATOLEWE NJE, TUKO SALAMA”
MEYA APIGA MARUFUKU KUVAA BARAKOA “ATAKAYEVAA AKAMATWE ATOLEWE NJE, TUKO SALAMA”
Reviews
0 %
Huyu meya akapimwe akili
this meya mpuuzi sanaaaa,prevention is better than cure.
Huyu jamaa ana akili.Barakoa haizuii hata vumbi ila humuua. mtu kwa kumnyima pumzi ila mapumbavu hayajui
Meya yupo vizuri sana.Awafukuze kabisa hao wenye korona
Safi Sana meya ,wasituletee hofu hapa ,Tz hakuna korona.
wajinga walio vaa mibarakoa
Meya taahira
Hii kali akili ya kuambiwa changanya na zakwako
Hajui afanyalo huyu kwanza hicho cheo cha umeya haumfai…ameamka na andasi zake za gomba analetea watu upuuzi wake😓 yani janga la dunia wewe unasema Manispaa ya Moshi ipo salama wakati watu wanakufa acha upuuzi wako!!!
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
Safisana wavue hao
Mtu kuba kitu chochote ni uamuzi wake..sidhani kama ilikuwa busara
Huyu meya ni choko tena lenye viwango
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Waliovaa suti woote wavue 😂😂😂😂
Duhh😃
Umemshinda trumph
Tuwaombee viongozi wetu HEKIMA kwakweli
Tanzania hatuna Corona
Aisee
Aisee
Mwisho utasema ww hujavaa chupi na wengine wavue chupi bwege ww
Hii ni balaa wananchi wanachida
Afya mtu inamhusu nini na uwakamate kwa sheria gani ,mbona Tunapenda kuburuzana
Huu ni ukiukwaji wa Mising ya utu
Matumiz mabaya ya madaraka kuamulu jeshi letu kukamata mtu aliyevaa barakoa kwani jinai hapo ni kuvaa? Najua Serikali yetu iko makini na itamwelekeza uyu kiongozi jinsi ya kufanya maamuz maana akiachwa anaweza pitisha hata nudget ya miradi ya ajabu apo Halmashauri
Huu Ni UJINGA KABISA
Usiingilie uwamuzi wa mtu ww…kama hujipendi ni wewe tu pmbvu
Anamakosa,ulimbukeni huyo meya maana kuchukuwa tahadhari ni lazima,
Huna adabu wewe..sasa kama wewe hujavaa ndo wengine wasivae…?shenzi ww..hata huyo rais wako kasema mue na tahdhari ..mjifukize na barakoa ni kinga mojawpo….
Akalime kahawa mndenyi hu mea hauwezi aisee
Wewe Meya ni mjinga kupitiliza, kama hakuna tatizo unavyodhani kuvaa au kutokuvaa iwe hiari ya mtu mwenyewe. Korona ipo duniani kila mmoja ajilinde mwenyewe asishabikishwe. Tuchukuwe tahadhari!
Yani naandika nafuta, naandika nafuta! Dah, bongo hii
Kwani kuna ubaya gan wao.kuvaa si tahadhar tu
.hapo itakuwa kuna mpango wa lulazimisha watu kuwaua
Acha nicheke kisha 🤣🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Hao wavaa barakoa wamepangwa tu hamuwez mkaamua kuvaa barakoa mkae sehemu moja wote hiyo ni kik imetengenezwa halaf mbona madiwani wenye majoho hawajavaaa kiki tu viongoz wa sasa
Bora apate corona tu ili iwefundisho kwake…
Huyu meya kidogo zimefyatuka
Pumbavu kabisa huyu
Ujinga huu na ufinyu wa akili
LOL, kweli shida bongo
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na Inje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe.
CHANZO CHA TATIZO
~chanzo halisi cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni ÷
👉KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
👉KUHARISHA KWA MUDA MREFU
👉TATIZO LA KUTOPATA CHOO
👉MATATIZO YA UMRI
👉KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
👉UZITO KUPITA KIASI
👉MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU
DALILI ZA BAWASIRI
👉Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
👉kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
👉kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo
👉kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana
👉kupata upungufu wa damu (anemia)
👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
👉hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake
👉kuathirika kisaikolojia
👉kukosa moral ya kufanya Kazi kutokana na maumivu makali
Kwa msaada zaidi tucheki whtsap/call 0655523211
Sasa barakoa kavaa yeye wewe meya inakuhusu nini pumbavu kabisa Yani mtu kujikinga pia makosa?
Primitive mayor of 2021😡
Siku akija kwenye kikao hajavaa nguo ya ndani atawaambia mliovaa mvue zenu kikaoni
Nahama hii inchi
Wacheni UBOYA..!! Watu wanakufa na Corona,serikali inaficha takwimu. Wakatazeni wasivae na VIATU au NDOM basi..
Safi sanaa kukaa kwa uwoga tu barakoa barakoa wakavalie nyumbani kwao
Wajumbe mvueni umeya hafai kabisa huyo ni mpumbavu Sana