Mshukiwa mmoja wa wizi ateketezwa hadi kufa eneo la Machakos
Mshukiwa mmoja wa wizi ateketezwa hadi kufa eneo la Machakos
Mshukiwa mmoja wa wizi ameteketezwa moto hadi kufa na wananchi waliokua na ghabhabu baada ya kupatikana akiiba katika kanisa la AIC Ngonda huko Matungulu kaunti ya Machakos.
source
Reviews
0 %
That good job
Wah kanisa mliuwa😢
Mngempeleka mahakamani.. anyway..siku za mwizi ni arobaini.
Mlifanya vibaya kabisa hapo sio kanisa ,wewe ni mzee ungeruhusu vijana wachome mtu kwa kanisa mtahukumiwa wote jehanamu direct get prepared
This is not a church
Wenye mnasema angesamehewa mngejua vile hao majamaa wanaua watu huku mngefikiria vingine
Kanisa hamufai kuua mwizi ,, jee mtahubiria nani injili kuhusu msamah ,??????
Kanisani sio pahali pa kuua. Wafuasi to that church you have done wrong.
The place where he could be reformed angeombewa
Lakini jambo la kumuua halikua sahihi
Kenyans are frustrated by insecurity, reports are made no actions / not responding on time.
As country we shouldn't let groups to arrest, try and deliver judgment. What are the police, iudges and prison officers we pay for!
Imagine one suspected thief on killers hands on this video.
Mwizi asionewe juruma juu akikupata anakuuuwa tu….
Atokomee kusimu
According to Christian bible Jesus said you should forgive 70times.