CHRISTINA SHUSHO – MWANAUME HACHUNGUZWI | ATAKUTESA

Spread the love


CHRISTINA SHUSHO – MWANAUME HACHUNGUZWI | ATAKUTESA


Tafadhali usisahau KU_SUBSCRIBE na KU_COMMENT Kwenye Chanel Yetu Hii Na Mungu Atakubariki 🙏

BARIKIWA @rosemuhandoofficial5676 #rosemuhando

#rosaree @Rosa_Ree

#mercychinwo @mercy_chinwo #levi #elevated

#ambwenemwasongwe @ambweneobadiamwasongwe

#joellwaga #boazdanken @joellwaga @boazdanken

#clam #clamvevo @clamvevo6472 …

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

41 Comments

  1. Wewe ulisema uliolewa ukiwa mdogo Sana ivi uliyajulia wapi mambo ya wanaume nawakati ulikuwa mcha Mungu na mambo ya kuchunguza simu uliyajuaje nawakati simu zilikuwa azijaingia wakat unaolewa pia baada ya kuolewa ulikuwa ni mke wa mtumishi wa Mungu ulijuaje ayo yote

  2. Huna hoja wala huna cha kushauri,,wewe ni sugar mami kama masugar Mami wengine wa mjini tu,, yaani wewe ni lishangazi,,kwa ufupi huna tofauti na Malaya anaye jiuza mjini,,yaan huna mume ukaamua kuwa mzinifu,,kwa lugha inayo eleweka wewe ni mdangaji tu,