MAASKOFU WAKUU ARUSHA WAMPONGEZA MAKONDA,TUMEONA UPENDO NA UKARIMU WAKO KWA WADUDU WA R CHUGA
MAASKOFU WAKUU ARUSHA WAMPONGEZA MAKONDA,TUMEONA UPENDO NA UKARIMU WAKO KWA WADUDU WA R CHUGA
#makonda #Rcmakonda #rcarusha #arusha #arushamjini #arachuga #arusha #chugacomedy #chugadance #makonda #paulmakonda #kizaziog #babalababa #kenyonyo #dipperrato #majanaba #markubamajanaba #waduduwarchuga #makonda #kenyonyo #kizaziog #chugacomedy #chugadance #chuga #arusha #makonda #pdiddy #fidovato #target #chidbenz #fidovato #fido #krg…
source
Reviews
0 %
Hongera pastor Malekana
My Makonda Mungu akuinue zaidi na zaidi. Nimeguswa sana ulivyowaapisha wadudu. Wanalia kwa upendo uliowaonyesha, Mungu asikupungukie kwa chochote Mh.Naomba uishi milele, Zaburi 91.
Good brother!!daaah its good to get a blessing were with u sure
Great Makonda, young visionary
Mbarikiwe sana maasikofu kwa kumtia moyo na kumuombea baraka mhe mkuu wa mkoa wa Arusha Makonda wa chuga chugani anaependwa hadi nawaduduu Mungu muinue juuu
Kinachotakiwa ni mfumo bora utaoweka mazingira bora kwa kila mwananchi,siyo wadudu tu wa Arusha,hizo ni rushwa za kisiasa 👇🏿
#katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿
Amina watu wa Mungu kwenda kumtia moyo kiongozi
Makonda kama siyo maadui angekuwa Rais ajae
Hongera sana mh. Makonda
Nakukubari mh.makonda
Next presedent
Makonda.raice.ajae.30
Mweshimiwa makonda pokea maua yako🎉
Yesu akutunze.
Hongera sana Mh Makonda Mungu akutie moyo, akusimamie kila hatua Dua 🎉🎉🎉🎉🙏🙏🙏