Rais Ruto ateuwa sehemu ya baraza lake jipya la mawaziri kuwataja watu 11, 6 kutoka baraza la awali
Rais Ruto ateuwa sehemu ya baraza lake jipya la mawaziri kuwataja watu 11, 6 kutoka baraza la awali
#KTNNews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews #genz
Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service…
source
Reviews
0 %
you are daring us Mr president
Stop fooling us
Kwani hakuna viongozi wengine Kenya???
Tuya,kindiki and duale correct,the rest ni wakora
Wewe umenasw juu ya ujiga shida nikua unathani odm watasaidia lakini wapi g zen wanakuja dio ujue
Aja😮ya mjiga ni kumia
Ruto utachoka sana juu taukiiga wako juu kenya imembaki wajiga😊
As gachagua to know why mt kenya ni wengi . Already gachagua alikuwa na marking scheme ya exam do u expect a fail?
Ruto ana kiburi.
Ruto amekosa akili, alitoa tena amerudisha why?
Why fire them if you knew u will bring them back?? Who is fooling who ?your sick in your head.
Hot air
Mbona hamusemi sheria na katiba inaeleza vipi kuhusu waliofutwa na kurudishwa tena kazi😮
Ruto is testing waters with the first 11. Get ready for a shock for the next 11
No need to dissolve the cabinet. Same characters
Nilijuatu ametucheza
Mimi nampongeza rais….we can advice and correct the president but we can not plan for him everything as if yeye ni mtoto …hii nchi si ya gen z peke yake ni ya kila mtu.. kama rais ameona hao watamsaidia kutekeleza sera zake basi kongole kwake na pia tumsupport na tumuombee atekeleze agenda zake…
Why Kikuyus
Huyu chirchir alimpa Ruto nn
Afred mutua ako wapi
sasa elimu jamani. 😢😢
waaaa
Youth wako wapi sane people no
Ukabila tupi
Reject early new cs for ruto asitupime
Kama hakuna pastor Ng'ang'a hatutaki😅
Ruto bado hataki kusikiliza sauti za wananchi Baraza la ukabila si Baraza la mawaziri
David Chirchir tena🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Haturudii matapishi tumereject list asitufanye wajinga
Kenya isonge mbele