Annoint Amani – Nina jina kubwa / Diamond Platnumz & Harmonize Feki ( official music video )
Annoint Amani – Nina jina kubwa / Diamond Platnumz & Harmonize Feki ( official music video )
#Diamond platnumz#harmonize#zuchu#Alikiba#
Nikweli tunafanikiwa sana duniani ,lakini je ? hayo ni mafanikio ya kweli ?,maana hapa duniani hatutaishi milele ,hilo linaeleweka kuwa kila alie hai atakufa siku moja,
Umejiandaaje na huko tuendako baada ya kufa ,maana vyote tunavyo vipigania hapa duniani,ni vya hapa hapa na tutaviacha…
source
Reviews
0 %
More Grace sir
Mtumish wa mungu akubariki welcome Kenya lakin me ni mtanzania mwenzako nampenda sana Jesus's nakutakia kazi njema ya bwana like❤
Wew sikuizi unaimba kumpata hela tu
Wimbo mzuri
Amen ubarikiwe
Kalii sana
😂,😂😂❤❤
Amima
Babaa
https://youtu.be/Io0idcDuFVo?si=3PyWG5mZOJ2kIAkO
https://youtu.be/Io0idcDuFVo?si=3PyWG5mZOJ2kIAkO
Wow🎉 i love this song
Na Mimi piya mbona simuelewi
Kazi nzuli brother ❤️
Kakaaaaaaa
❤❤❤❤ congratulations mtumishi keep it up 🇰🇪🇰🇪
MUNGU akupe maisha malefu mtumishi wamungu nimeipenda kaZiyako
Safi kaka
Safe kaka
Annoint njoo tupige kolabo mombasa kenya
Great job
Katika nyimbo za injili munaweka pia wasanii wa bongo flavour ? Hah😂
Barikiwa
Big up kaka upo vizuri na wimbo ni mzuri
Barikiwa Sana kazi nzur sana
What I really love the most in your songs it's your sweet voice God bless you and keep blessing us 💞🙏💞
It doesn't look like a gospel song 😢 I don't think if such a song can please God 😢
Eeee kweli mungu azidi kubalik kazi yako
Ubarkiw mungu asikupungukie kaka
Jeshi😂😂😂
Hongera kaka anoit
Wow.. napenda sana 🎉🎉
Unaweza kaka mungu akutumie kaka
I'm loving this tune …so educative on us to change and watch our ways as we live in this world…let the world not to carry us that we shall miss our eternal life.
Be blessed man of God.
🇰🇪From Kenya..
Big love bro.🇰🇪
Wimbo mwema wenye mafunzo lakini tune is of the secular music group..again vedio yenyewe yatatanisha
naompeni na mimi support yenu mimi pia msanii mdogo wa gospel andika daniel leskar music mtanipata
Hahaaa Paschal Cassian kawa chana baba levo na mwijaku. Anoiti nae kawachana wengine aise
Wafilipi 3:7 "Lakini mambo hayo niliyoyaona mwanzo kuwa ni faida kwangu, sasa nayaona kuwa ni hasara kwa ajili ya Kristo. 8 Zaidi ya hayo, nahesabu mambo yote kuwa hasara tupu yakilinganishwa na faida kubwa ninayopata kwa kumjua Kristo Yesu aliye Bwana wangu. Kwa ajili yake nilikubali kupoteza kila kitu na kuona mambo hayo yote kuwa ni takataka ili nipate faida ya kuwa na Kristo; 9 na nikiwa kwake nisionekane kama mtu mwenye haki yake mwenyewe, inayotokana na kushika sheria, bali niwe na ile haki inayotokana na kumwamini Kristo, ambaye yeye ni haki itokayo kwa Mungu inayopatikana kwa imani. 10 Nataka nimjue Kristo na nguvu ya ufufuo wake na nishi riki mateso yake, niwe kama yeye katika kifo chake; 11 na hivyo, kama ikiwezekana, niufikie ufufuo kutoka kwa wafu."
Good message
safi sana kabisa
Barikiwe
The one I was waiting for God Bless You Brother 💪
Nzuri kaka njoo usab kwangu
Good work my brother🇰🇪💪
Kazi Nzuri 🔥
Nice song
Hongera sana
Wimbo mzuri, japo Video yake sio poa, isje ikawa kama Goodluck Gozbert alishambuliwa na mashabiki wengi kwenye wimbo wa Nibadilishe!!
Mwamba umetisha kinoma ,kipaji to the next level❤❤