Wadau watoa msaada kwa wasichana wa Maathare

Author Avatar

NTV Kenya

Joined: Mar 2024
Spread the love


Wadau watoa msaada kwa wasichana wa Maathare


Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya hamasisho kuhusu kipindi cha hedhi duniani zaidi ya wanafunzi mia sita wenye mahitaji maalum katika tasisi ya Mathare hapa Nairobi wamepata afueni baada ya wakenya wenye nia njema kufika shuleni humo kutoa msaada wa visodo kwa wasichana walioathirika mno na mafuriko.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest…

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *