5/5 M23 YAPIGWA KAMA WATOTO MAITI KAMA MIRAGO KIBIRIZI

Author Avatar

athompson

Joined: Mar 2024
Spread the love

5/5 M23 YAPIGWA KAMA WATOTO MAITI KAMA MIRAGO KIBIRIZI

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

28 Comments

  1. Mtangazaji ,tunakufata vizuri shida ambao tulikuwa tunasema Rwanda na unganda ahina jeshi linaweza pita jeshi la FARDC bila kuwa na wasariti kama changa changa ya askari wa kigeni, wazawaza, wazalendo kazi sherti wafanye kazi kushinda wanyarwanda na Ganda

  2. Naitwa Namsifu Rockson
    Naishi Tanzania
    Congo inatuuma sana
    Wazungu ni simba mbugani wanao kula watuwetu waki saidiwa na binadamu wengine wenzetu
    Poleni sana nduguzetu wa congomani
    Na hongereni saaana wazawaza

  3. Hapo ikiwa hivo serekari ndiyo itakuwa imezembea ikiwa makini serekari yakongo inayo mambo 2tu nandiyo kinga ya serekari yakongo moja serekari itangaze kwamba umoja wamataifa ikiwa haijatowa wazi mapingiripot isitorewe tarifayoyote kuhusu kongo piri jenoside papa aritangaza akiwa hapo kongo serekari iyitangaze hazarani naserekari iyisahini naiwekwe kipindi camusiba kwainchi yo nakazi zisifanyike inci nzima tayari kwamambo haya 2 kongo itashinda hapo hapo inchi yeyote itakata kukubari jenosidehiyo congo itangaziye hiyo ici urafiki umekwisha hapo fachi beto atakua amemubana ware mabeberu rakini akizuba basi 😊😊